YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 1 Februari 2016

Ulbum ya ANTI' ya Rihanna... Downloads million 1 kwa nusu siku

rihanna-crown
Rihanna
HII ni zaidi ya kukubalika. Ile albamu mpya ya Rihanna ya ANTI aliyoichaia rasmi Alhamisi iliyopita imeweka rekodi ya aina yake baada ya kupakuliwa (downloads) na mashabiki kutoka pande tofauti duniani mara milioni 1 ndani ya saa 14 tu baada ya kuiweka kwenye mtandao wa TIDAL.
Albamu hiyo ambayo ni ya nane kwa Rihanna imeomuongezea matumaini ya kufanya vizuri katika kazi zake mwanadada huyo na kuonesha kuwa imepokelewa vizuri na mashabiki wake.
Rihanna amesema kuwa, kampeni ya ANTIdiaRy iliyokuwa ikioneshabaadhi ya vipengele ndani ya albamu ya ANTI, kampeni aliyoifanya na Kampuni ya Samsung ndiyo imemewafanya mashabiki wake wawe na hamu ya kuiona albamu yake hiyo mpya. #Rihanna

RIAA wameisajiri rasmi albamu hiyo baada ya kufikisha downloads milioni 1.
Alichokiandika Rihanna kuwashukuru mashabiki twitter

Source:GLOBALPUBLISHERSTZ

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads