YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 1 Februari 2016

Picha 9 za Duka jipya la klabu ya Simba lililofunguliwa



Klabu ya Simba Sports February 1 2016 imeingia kwenye headlines na historia, baada ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Rais wa klabu hiyo Evans Aveva wamezindua duka ambalo litakuwa linauza vifaa vyenye nembo ya klabu hiyo, hili ndio duka la kwanza rasmi la Simba kufunguliwa. #SimbaSportsClub
DSC_0342
Baada ya hapo Rais wa Simba Evans Aveva amethibitisha kufungua duka jingine la bidhaa za klabu katika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi Kariakoo siku za hivi karibunia. Simba sasa imepiga hatua moja mbele na kuiga mfano wa vilabu vya Ulaya kama FC Barcelona ambavyo vinamiliki maduka ya bidhaa zenye nembo ya klabu yao.
DSC_0349
DSC_0350
DSC_0351
DSC_0352
IMG_2115
IMG_2260
IMG_2331
Source:MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads