Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadia ya watu duniani mwanamume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea.
Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12.Anaishi na familia yake katika kijiji chaAmankrom kilicho umbali wa kilomita 45 kutoka mji mkuu Acca.
Familia yake ni thuluthi moja ya watu 600 katika kijiji hicho.
Anasema kuwa anataka familia kubwa kwa sababu hakuwa na ndugu.
- Wazazi ambao hujuta kwa kuzaa watoto
- Ni vyema kuweka picha za mwanao mtandaoni?
- Watoto 11 waliozaliwa mapema wafariki kwa moto Iraq
- Watoto kuzaliwa na wazazi watatu Uingereza
Familia hiyo yake hata hivyoy imemgharimu pakubwa. anasema alikuwa mtu mwenye mali, lakini male hiyo ilipungua kutokana na gharama ya kuitunza familia yake kubwa
Kofi Asilenu anaonekama kuwa mwenye afya nzuri na hata anasema kuwa na watoto zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni