Baada ya nyimbo ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’ kufanya
vizuri kwenye vituo mbalimbali vya habari za burudani, Staa wa Nigeria
Yemi Alade karudi tena kwenye Headlines za burudani leo baada ya kauchia
ngoma yake mpya ‘Na Gode’ aliyomshirikisha Selebobo.
Neno ‘Na Gade’ linatoka kwenye lugha ya Hausa huko Nigeria likimaanisha asante.
Nakukaribisha hapa kuisikiliza mtu wangu.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni