YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 14 Mei 2015

Radio iliyotangaza mapinduzi Burundi imechomwa, picha zake ndio hizi


Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.16 PM
Jengo la kituo cha Radio kilichochomwa moto Burundi.
Kama ulipitwa na hii Breaking News kutoka Bujumbura Burundi asubuhi ya May 14 2015 zilitoka taarifa kwamba raia hawatoki nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliotangaza kumpindua jana.
Pia kituo binafsi cha Radio kilichotumika kutangaza mapinduzi ya kijeshi kilichomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia May 14 2015 na Wanajeshi wanaomtii Rais lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.35.36 PM
Wa kwanza kushoto ndio Jenerali mwenyewe aliyetangaza mapinduzi, hapa ndio alikua anaondoka kwenye jengo hilo muda mfupi baada ya kutangaza mapinduzi.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.06 PM
Jengo la Radio kabla ya kuchomwa moto.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.24 PM
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.35 PM
Hii picha ni wakati Meja Jenerali Godefroid Niyombareh akitangaza mapinduzi hayo kwenye Radio.\

Source: MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads