Imerudi kwenye headlines kwa mara ya
pili 2015.. April 10 2015 hii ilikuwa stori kubwa sana mitandaoni na
kwenye vyombo vya habari, ilipofika saa sita mchana Waziri wa Kazi na
Ajira akaongozana na viongozi wengine ikiwemo Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Paul Makonda na Kamanda Suleiman Kova.. wakakubaliana, mgomo ukaisha magari yakarudi barabarani.
Leo imejirudia tena, mgomo umeanza
asubuhi ya leo Dar na maeneo mengine TZ, watu wanatembea kwa miguu..
wengine usafiri ni lift za magari binafsi, bodaboda na bajaji.
Hizi ni picha nilizozipata kuanzia asubuhi mpaka sasa maeneo mbalimbali Dar.
Source: MillardAyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni