Unaambiwa mpaka mwaka 2012 haya ndio magari matano makali alikua anamiliki Cristiano Ronaldo.
Staa wa soka Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 29 ametajwa kwenye list ya mastaa kumi wa soka wenye pesa nyingi ambapo yeye ndio kashika nafasi ya kwanza, akifata Messi na kisha Samuel Eto’o.
Hii hapa chini ni collection ya magari matano ya Cristiano Ronaldo mwaka 2012 kwa mujibu wa Trace TV.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni