Unaitaka list ya leo ya Wanasoka 10 tajiri duniani, vp Rooney, Ronaldo na Messi je?
Katika listi hiyo iliyotajwa leo, Ronaldo amemrithi David Beckham ambaye alistaafu soka mwishoni mwa msimu uliopita ambapo Ronaldo ana utajiri wa paundi millioni 122.
Lionel Messi ameshika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa paundi millioni 120, nafasi ya tatu imekamatwa na muafrika pekee kwenye listi hii ambae ni Samuel Etoo mwenye utajiri wa paundi millioni 70, Rooney anafatia kwa utajiri wa paundi millioni 69 huku Kaka akishika nafasi ya 5 kwa utajiri wa paundi millioni 67.
Listi inaendelea kama ifuatavyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni