YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 2 Agosti 2013

Azam FC kushuka Sauz kesho

KIKOSI cha wachezaji 22 cha Azam FC,
kesho Jumamosi kinatarajiwa kuondoka
nchini kwenda Afrika Kusini kuweka kambi
ya siku kumi kwa ajili ya kujiandaa na
msimu mpya wa 2013 / 2014 .
Kocha Msaidizi wa Azam, Kali Ongala
amesema kikosi hicho kitaondoka mchana
na ndege ya South African Airline na kikiwa
huko kitacheza mechi za kirafiki tatu au
nne na timu za huko.
“Tutaondoka hapa saa tisa alasiri ,
tunatarajia kufika saa 12 :00 jioni kwa saa
za hapa nchini . Tunatarajia kurejea nchini
kuanzia Agosti 13 kwa ajili ya mechi ya
Ngao ya Hisani mnamo Agosti 17 dhidi ya
Yanga,” alisema Ongala

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads