YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 12 Juni 2013

TAZAMA PICHA YA LORI AINA YA SCANIA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO JANA USIKU MAENEO YA MBEZI.

Ajali hii ilihisisha gari aina ya SCANIA
iliyowaka moto maeneo ya Mbezi Beach
Samaki Chanzo cha ajali ni kulika sana kwa
break na tairi ya upande wa kushoto kupata
pancha hivyo kupelekea moto kuanzia hapo
hapo kwenye tairi hilo na dereva kuona hivyo
yeye na konda wake wakaruka kutoka nje
kupitia dirishani na vile gari haikuwa na fire
extinguisher so gari ikazidi kushika moto
mpaka pale majira ya saa tatu kasorobo fire
ya jiji la dar ilipofika na kujaribu kuokoa tanki
la mafuta na tela la gari hiyo lisiendelee
kushika moto na kusababisha mlipuko ambao
ungeweza kutokea...hakuna alieumia wala
kujeruhiwa wala dereva hakukimbia alikua
eneo la tukio kuanzia mwanzo hadi mwisho.
SOURCE: ==>>bongoclantz.com<<==

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads