YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 11 Juni 2013

Mwanamichezo Mwingine Mkubwa Atakaye Simamiwa Na Kampuni Ya Jay Z.

Forward wa Oklahoma City Thunder
atafata nyayo za Genoo Smith wa New
York Jets na Robinson cano wa New York
Yankees kwa kutia wino kwenye mkataba
wa kusimamiwa kwenye kazi zake na
kampuni ya Kusimamia Wanamichezo Ya
Roc Nation.
Kwa mujibu wa ESPN Jay-Z's Roc Nation
Sports agency itafanya kazi na Kevin
Durant wa Oklahoma City Thunder Baada
ya Kevin kusitisha mkataba wake na
mwakilishi wake wa sasa. Durant
amewaambia watu wa karibu yake kuwa
anataka kujenda jina lake liwa kibiashara
zaidi na aweze kutengeneza pesa kwa kasi
zaidi ndio maana anahamia kwenye
usimamizi wa kampuni ya Jay Z.
Fahamu kuwa Durant anamkataba wa Dola
milioni 85 na Thunder alioupata mwaka
2010 na unaendelea mpaka 2016 na hata
omba mkataba mpya sababu Roc Nation
itasimamia Mauzo ya Jina na Bidha za
Durant tu na sio Mikataba yake.Hapa Jay z
na Roc Nation hawatu vinja sheria za NBA
Kwani ni ruhusu kwa Mtu kuwa mmiliki wa
Timu ya Mpira wa kikapu na wakati huo
awe ana mwakilisha mchezaji wa timu
nyingine.
Mpaka sasa haijulikana Kama Jay z atauza
Hisa zake Za New York Jets Kabla haja
ingia mkataba na Kevin Durant.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads