YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 26 Juni 2013

HUWAWEI WAZINDUA TOLEO JIPYA LA SIMU AINA YA SMARTPHONE ASCEND P6

Ni wakati mwingine wa Dunia kupokea
toleo jipya la
simu aina ya Smartphone lakini
sasa hivi toleo ili limetokea China kutoka
kwenye kampuni
kubwa ya simu china na dunia kote,
Hapa nazungumzia HUWAWEI.....
Toleo ilolinaloenda kwa jina la Ascend P6
limetoka usiku wa jana wakati manager
wa kampuni hiyo alipoitambulisha japo
aijawekwa sokoni mpaka june 27...
Uwezo wa simu ni 3G na4.7 G,
Bluetooth,Wi-Fi, 8mp Camera, Touchscreen
n GPS..
Kwa wale wapenzi wa simu wakae tayari
kwa hii simu inayotoka july 27......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads