WASICHANA wanne kutoka Nigeria
wamegundua jinsi ambacyo mkojo unaweza
kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta.
Wasichana hao, Duro-Aina Adebola,Akindele
Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola,
wote wenye umri wa miaka 14 wamefanya
maonyesho ya jenereta hilo na limeonekana
kufanya kazi.
Genereta hilo linaweza kufanya kazi kwa muda
wa saa moja likitumia lita moja tu ya mkojo.
Linauwezo wa kuendesha vifaa vinavyotumia
umeme wa kati kama vile taa, jokofu, redio,
televisheni n.k, Sasa genereta hilo linafanyaje
kazi?
Kwanza mkojo huo unawekwa kwenye chombo
kiitwacho electolytic cell, ambacho
hutenganisha mkojo huo na hydrogen. Kisha
hydrogen hiyo huenda moja kwa moja kwenye
chujio la maji kwaajili ya kuisafisha na kisha
kuisukuma katika gas cylinder.
Hiyo gas cylinder nayo huisukuma hydrogen
mpaka katika kitu kinachoitwa, liquid borax
ambayo huisukuma hewa hiyo na kuliwezesha
jenereta kufanya kazi.
Translate
Alhamisi, 27 Juni 2013
HILI NDILO JENERETA LINALOTUMIA MKOJO BADALA YA MAFUTA...!!
About Young Concious
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni