YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 10 Juni 2013

HABARI ZILIZOTUFIKIA MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA

Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba
msanii wa filamu nchini Jaji Khamis
(Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV
enzi zile akiwa na wasanii kama mzee
masinde,samson na wengine katika mchezo wa
Tamu chungu na mingine mingi Amefariki
dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya
muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza
na the super stars tz raisi wa shirikisho la
wasanii amesema kuwa tasnia yake bado
inaendelea kukumbwa na majanga lakini
amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika
kundi moja akiwa kama kiongozi wake
amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa
mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika
tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis
(Kashi)
mahali pema peponi Amini.

SOURCE: http://thesuperstarstz.blogspot.com/

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads