YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 10 Juni 2013

Jose Mourinho Afunguka Kuhusu Sababu ya Kutoelewana Na Christiano Ronaldo,==>>Soma hapa

Aliye kuwa kocha wa Real Madrid Jose
Mourinho Amefunguka Kuhusu Sababu ya
Kutoelewana Na Christiano Ronaldo, na
kusema ni mchezaji anaye jidai anajua kila
kitu ndio maana hatukuelewana kwa muda
mrefu. Jose amesema Ronaldo hataki
kukosolewa na ni mbishi, kama kocha
siwezi kufanya kazi na mtu asiye taka
kuwa bora kwa kuskiliza mafunzo yangu.
Fahamu uwezo mkubwa wa Jose kushinda
makombe huwa unatokana na mahusiano
mazuri aliyo nayo na wachezaji wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads