YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 21 Juni 2013

ARNOLD SCHWARZENEGGER NDANI YA 'TERMINATOR' 5

Baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda
mrefu kwa muigizaji mkongwe wa filamu
maarufu za action Arnold Schwarzenegger,
ameamua kurejea upya katika ulingo huo huku
'Terminator 5' inategemea kurekodiwa mwezi
January mwaka ujao.
Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu
huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya
kushindwa kushiriki katika Terminator 4
kutokana na majukumu ya u-Governor wa
Califolirnia kwa wakati inatengenezwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads