YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 24 Mei 2013

BREAKING NEWS: RAMA MLA WATU AACHIWA HURu, SOMA STORY HAPA

Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam
imeamua kumuachia huru Ramadhani
Selemani Mussa ambaye alikuwa akikabiliwa na
kesi ya kukutwa na kichwa cha mtu. Rama,
ambaye muda wote huo alikuwa rumande
gereza la Segerea akisota kusubiri hukumu
yake, alikamatwa hospitali ya Muhimbili
mwaka 2008 ambapo pia alikiri kuwa alikuwa
na tabia ya kula nyama za watu ambayo
amefundishwa kichawi toka alipokuwa mdogo.
Mahakama imemuachia huru kwasababu
mtuhumiwa alitenda kosa hilo pasipo kuwa na
akili timamu. Hata hivyo mahakama hiyo
imetoa agizo la kuendelea kumuweka kijana
huyo katika hospitali ya wagonjwa wenye
matatizo ya akili, hospitali ya Isanga iliyopo
Dodoma mpaka pale atakapona ndipo
aruhusiwe kurudi mtaaani.habari kutoka
karibu ndani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads