YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 22 Mei 2013

AZAM MARINE WALETA MELI MPYA KALI ILE MBAYA, INAITWA KILIMANJARO IV , ICHEKI HAPA

KAMPUNI ya Azam Marine, inaleta boti
mpya ya Kilimanjaro 4, ambayo inatarajiwa
kuwasili nchini nchini, kuanzia mwishoni wa
mwezi huu, ikiwa na uwezo wa kubeba
abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70
kwa safari moja ya kati ya Zanzibar na Dar
es Salaam. Hii ni boti mpya kabisa katika
muendelezo wa boti za Kilimanjaro,
ambayo itakidhi mahitaji ya wasafiri wa
eneo hili kwa kuwa inabeba sifa zote,
ambazo ni Usalama, Kasi zaidi na Unadhifu.
Kaa tayari kwa mzigo mpya kutoka Azam
Marine.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads