YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 21 Mei 2013

PROFESA JAY AJIUNGA NA CHADEMA

Profesa Jay akiwa na Joseph Mbilinyi
'Sugu' baada ya kujiunga na Chadema .
Profesa Jay (katikati ) akiwa na Joseph
Mbilinyi ' Sugu' pamoja na John Mnyika
(kulia) .
Profesa Jay akionyesha ishara ya
Chadema .
MWANA Hip Hop mahiri hapa nchini ,
Joseph Haule ' Prof J' amejiunga rasmi na
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) .
Profesa Jay amejiunga na chama hicho
wakati akiwa mkoani Dodoma pamoja na
wasanii wengine akiwemo Judith Wambura
'Lady Jaydee ' kwa mwaliko wa Mbunge wa
Mbeya Mjini ( Chadema), Joseph Mbilinyi
'Sugu '. Katika ukurasa wake wa
twitter kabla ya kujiunga rasmi na chama
hicho, Prof aliandika hivi: " Mmeniuliza
sana kwamba mimi ni chama gani jibu
litapatikana muda sio mrefu !! Still in
Dodoma STAY TUNED !!!" Na baada ya
kujiunga alitweet hivi sambamba na picha
akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ubungo wa
cha hicho, John Mnyika pamoja na Sugu :
"Prof , Jay Vua gamba, vaa Gwanda
mimi Nipo Hapa now. "

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads