YoungConcious™

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 11 Mei 2013

AMOS MAKALA AJITOSA KUWAKUTANISHA JIDE , RUGE

NAIBU Waziri wa Habari , Vijana,
Utamaduni na Michezo , Amos Makala
amefunguka kuwa hafurahishwi na
malumbano kati ya mwanamuziki Judith
Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee ’ na Bosi wa
Clouds FM , Ruge Mutahaba hivyo
amepanga kuwasuluhisha.
Akizungumza na Risasi Jumamosi katika
mahojiano maalum , Makala alisema
anamsihi Lady Jaydee akubali auombe
uongozi wa Clouds FM wakae pamoja
kumaliza tofauti zilizopo .
“Namsihi sana mdogo wangu na shemeji
yangu Jide akubali tukae pamoja na Clouds
ili tutafute suluhu . Naamini tukikaa pamoja
jambo hili litakwisha ,” alisema Makala.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads