Ahadi ya P Funk ambaye ni Producer Mkongwe wa Bongofleva miezi iliyopita ilikua ni kuwakutanisha Watanzania na kundi jipya la muziki liitwalo BONGOLOS ambapo leo ameitimiza ahadi, ahadi imeambatana na video yao ya kwanza toka tupewe taarifa za kuwasubiria.
Ni ngoma ambayo humo ndani ameshirikishwa Mrembo anaitwa Asteria, ukishaitazama hapa chini usisahau kutuachia comment yako ili wakipita waone Wabongo wameipokeaje ‘wape‘
Source:MillardAyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni