YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 2 Machi 2016

Hii ndo Bei mpya ya mafuta mjini...click hapa kuangalia

March 1 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) ilitangaza bei mpya ya bidhmillaaa za mafuta ya Petrol, Diesel na ya mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja ambapo bei hizo zitaanza kutumika kuanzia tarehe 2 march 2016.
Akiongea na waandishi wa habari Dar es salaam, Mkurugenzi wa huduma za nishati na maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema kuanzia tarehe 2 March bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la February 2016, kwa March 2016 bei ya rejareja za petroli imepungua Tsh 31 kwa lita sawa na 1.70%, Diesel imepungua Tsh 114 kwa lita sawa na 7.10% na mafuta ya taa yamepungua kwa Tsh 234 kwa lita sawa na 13.75%
kwa kiasi kikubwa , kupungua huku kwa bei za mafuta kwenye soko la ndani kumetokana na kuendelea kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia
Unaweza kuitazama pia hii Video hapa chini wakati bei hizo zikitangazwa….


Source:millardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads