YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 1 Machi 2016

Halima Mdee kulazwa rumande,wakili wake kuongea...cheki video hapa

February 29 2016 Jeshi la Polisi Dar es salaam linamshikilia Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa tuhuma za kufanya shambulizi la kumpiga mtu, tukio linalodaiwa kutokea siku ya February 27 wakati ilipotangazwa kuzuiliwa kwa uchaguzi wa Meya wa Dar.
Nje ya jengo la Polisi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na Wakili wake Prof. Abdallah Safari amezungumza na AYO TV na kusema>>>‘Halima ameshitakiwa kwa kosa la shambulizi la mwili ambalo kisheria ni kosa dogo, wanasema alimshambulia RAS wakati wa uchaguzi ulipoahirishwa pale karimjee hall juzi’
‘kwa hiyo nimekuja kushuhudia maelezo yake akiandika kwa maoni yangu halima hakuhusika kabisa na hicho kitu lakini kama kawaida ya polisi wamemkatalia dhamana kwa hiyo halima atalala rumande leo’
Unaweza pia kuitazama hii Video hapa chini kuipata full stori….
Na hii ni video ya siku vurugu zilivyotokea….




Source:MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads