Ubishi uliisha kwa matokeo ya points 117 za Floyd Mayweather na points 111 za Manny Pacquiao..
lakini matokeo hayo wapo ambao hawakuridhika kabisa, wanaamini eti kwa
kuwa Floyd alikuwa nyumbani kwao kapendelewa.. wengine wakasema
wanasubiri game irudiwe, ila isiwe Marekani tena ili matokeo yawe fair
!!
Tusubiri marudiano??? “Haina umuhimu wowote wa kurudia kwa sababu hakuna kitu kipya kitackachotokea..” hayo ni majibu ya Mayweather kuhusu pambano lao kurudiwa.
“Kapambana
mapambano mengi sana.. kapigana na mabondia wote wakubwa, hakuna kitu
kilichobaki.. Mwanangu anahitaji kumaliza mkataba wake kwa sasa..“– Hapa amenukuliwa baba yake Floyd ambaye anaitwa Floyd Mayweather Sr.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni