Taarifa inayomhusu mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la WestgateSamantha Lewthwaite ni kwamba ameuawa kwa kupigwa risasi.
Samantha Lewthwaite
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyu ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya mwaka 2013 japo matukio hayo mengi haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake.
Source: MillardAyo

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni