YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 29 Oktoba 2014

Kilichoamuliwa na Mahakama kuhusu kesi ya Chid Benz ni hiki.


CHIDRapa kutoka La familia Ilala Chid Benz mchana wa October 28 amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka yanayomkabili.
Mashtaka matatu yanayomkabili Chid Benz ni;-
  1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
  2.  Kusafirisha madawa ya kulevya
  3.  Utumiaji wa madawa ya kulevya
Kwa sasa Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba11 ambapo kesi yake itatajwa tena, kuhusu dhamana ya mshtakiwa mahakama imesema itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika na jumla ya pesa taslim million 1.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads