YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 16 Oktoba 2014

Baada Ya Drake Kuchezewa Na Nicki Minaj,Video Na Picha Alichofanya Ashanti Kwa French Montana

Ashanti amekamilisha album yake mpya Brave Heart na sasa ni muda wa video kali na kujipangana show. Hii video mpya ya wimbo ambao  amefanya na rapper French Montana unaitwa Early In The Morning. Hii ni mara ya tatu wanaonekana kwenye kazi moja wasanii hawa.
Awali walishirikiana kwenye No One Greater ya Ashanti mwaka 2012 na baadae Ashanti akaonekana kwenye video ya French Montana iliyoitwa R&B Bitches.



Source: Sammisago

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads