YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 4 Juni 2014

Umesikia ile kuhusu ya mchungaji kudai kuweza kumrudisha duniani mtoto aliyefariki!!?, Isikilize hapa sasa


Baada ya Mganga,sasa huyu mchungaji amedai anaweza kumrudisha duniani mtoto aliyefariki.


church Maktaba ya Stori kutoka Idara ya Hekaheka leo ina stori kuhusu mchungaji ambaye amesema ana uwezo wa kumrudisha mtoto aliyefariki dunia,Mchungaji huyo amedai kuwa mtoto aliyefariki hakua amefariki kama walivyodhani bali yupo hai.
Ni wiki chache toka Hekaheka itoe taarifa ya mganga aliyedai pia anaweza kumrudisha mtoto aliyefariki,familia pamoja na watu wa karibu wa familia hiyo wamepata nafasi ya kuongea.


Source: MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads