YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 4 Juni 2014

kuhusu Al shabaab kuitishia Kenya kuua viongozi! Na hii ndo some of the precautions ambayo imechukua kwaajili kumlinda rahisi wao. Icheki hapa sasa

Yani baada ya Al Shabaab kusema wataua viongozi Kenya, imebidi msafara wa rais uwe hivi

Screen Shot 2014-06-04 at 9.53.41 AMRipota wa TZA nchini Kenya Julius Kepkoitch anaripoti kwamba baada ya kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab cha Somalia kutoa onyo kwamba mashambulizi yake yanayofata yatawahusu viongozi wa Kenya, imebidi system ya ulinzi wa rais kwenye msafara ibadilike.
Unaambiwa mabadiliko yalianza kuonekana toka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye sherehe za 51 za kujitawala ambapo badala ya Rais kutumia gari aina ya Land rover iliyo wazi iliyokua pia ikitumika na marais wa awali, rais aliiingia kwenye uwanja wa michezo wa nyayo na gari aina ya Land cruiser iliyo na vioo visivyo penya risasi.
Screen Shot 2014-06-04 at 9.53.52 AMHiyo Land Cruiser ililoongozwa na gari lenye mitambo iliyo na uwezo wa kugundua bomu kwa zaidi ya kilomita 10, nyuma kabisa kulikua na gari lililo na uwezo wa kuhimili risasi na bomu au kilipuzi cha aina yoyote na inasemekana kwamba gari hilo huwa linatumika endapo msafara wa Rais umeshambuliwa kwa haraka Rais na wakuu wengine wanaondolewa na gari hilo.
Screen Shot 2014-06-04 at 9.54.01 AM
Screen Shot 2014-06-04 at 9.53.29 AM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads