Alichosema Trey Songz kuhusu taarifa za yeye kuwa shoga
Hatimae Trey songz amezungumza baada ya tweet hii hapa chini kusambaa kwenye mitandao mbalimbali duniani na kuwafikia watu ikiwa inasomeka ‘nadhani ni wakati wa kuwaambia mashabiki wangu, tukiacha utani… mimi ni shoga’
Trey amekanusha hizi taarifa na kwamba hii tweet imetengenezwa tu ila haijatoka na wala hajawahi kuiandika kutoka kwenye account yake ya twitter, yani ni watu tu wameamua kumuharibia kwa kusambaza uwongo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni