YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 27 Machi 2014

Picha 7 zikionyesha mafuriko ya maji ya mvua iliyo tokea jana Usiku, Cheki hapa

Kama mnavojua jiji letu la Dar Es Salaam mvua ikitokea basi nishida kuanzia kwenye usafiri hadi miundo mbinu yake. Hapa kunapicha zinazo onyesha magari yameshindwa kutoka kutokana na maji kujaa kwa sababu ya ufinyu wa mitaro. nakusababisha mafuriko kwenye baadhi ya maeneo kama unavyoona hapo..



 Maji yakiwa yanaonekana yameingia kwa ndani ya gari


 Matairi yakionekana yamefunikwa na maji


 Baadhi ya magari yakionekana kushindwa kutoka kutokana na mvua ya jana




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads