YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 24 Septemba 2013

Orodha Ya Nyimbo Na Cover Ya The 20/20 Experience 2 of 2 Kutoka Kwa Justin Timberlake


Orodha Ya Nyimbo Na Cover Ya The 20/20 Experience 2 of 2 Kutoka Kwa Justin Timberlake


Inaminika zimebaki siku 7 mpaka kutoka kwa cd ya pili kutoka kwa msanii Justin Timberlake, huu mwendelezo wa album ya mwaka 2013 iliyopewa jina la The 20/20 Experience" 2 of 2 . Wimbo wa pili kutoka kwenye cd hii ni “TKO,” na tayari Justin amekubaliana na iTunes kuhusu kuwapa nafasi mashabiki kusikiliza album hii kabla ya tarehe 30 September 2013.
Album hii iliyotengenezwa na Timbaland inashirikisha wasanii kama Jay z kwenye wimbo wa “Murder” na Drake kwenye “Cabaret” 
  
 Orodha Ya Nyimbo Ndio Hii
  
1. “Gimme What I Don’t Know (I Want)”
2. “True Blood”
3. “Cabaret” (Feat. Drake)
4. “TKO”

5. Take back the Night
6. “Murder” (Feat. Jay Z)
7. “Drink You Away”
8. “You Got It On”
9. “Amnesia”
10. “Only When I Walk Away”
11. “Not a Bad Thing”

Target Bonus Tracks:
12. “Blindness” (Target Exclusive)
13. “Electric Lady” (Target Exclusive)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads