
Pamoja
na kwamba wengine wanasema utajiri wa baba yake umechangia huyu staa wa
muziki wa Nigeria kuwa na magari na nyumba ya kifahari, imefahamika
kwamba hata muziki wake pia umeripotiwa kumpa mkwanja mrefu ambao kwa
asilimia kubwa unatokana na mauzo ya nyimbo kwenye makampuni ya simu
pamoja na shows.
Davido ameshea na fans wake picha ya gari lake jipya aliloagiza
ambalo ni Mercedes-Benz G63 AMG na kuandika ‘My baby fresh out the paint
shop! Next Stop the port! See u in Lagos baby!!! #G63AMG 2013!!!”
Muziki wa Nigeria ambao ndio unatajwa kuongoza kuchezwa kwenye vituo
vya radio na TV kwenye nchi mbalimbali barani Afrika kwa sasa,
umewanyanyua wengi wenye vipaji na sasa ni miongoni mwa matajiri wa nchi
hiyo akiwemo Tiwa Savage, Wizkid, D’banj, P Square na wengine wengi
ambao malipo yao ni kwa USD.

Hili
gari jeupe hapa juu ni moja ya magari anayomiliki Davido, na hili hapa
chini ndio hilo jipya aliloagiza… hii inatoa mwanga kwa kijana yeyote
kwamba ukikitumia kipaji na bidii kwenye kila unachofanya, inalipa!
Davido ameitumia fursa

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni