YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 4 Septemba 2013

iPhone 5S kutambulishwa rasmi wiki ijayo



apple-invite-910-380x285Kampuni ya Apple ambayo ndiyo watengenezaji wa simu za iPhone wametangaza tarehe 10 mwezi huu kuwa ndiyo siku ambayo wataitambulisha simu mpya ya iPhone 5s rasmi. Simu hii mpya ambayo pia itakuja na cover yenye rangi ya gold ikiongezeka kutoka kwenye rangi nyeusi na nyeupe ambazo zilikuwa ndiyo rangi pekee. Mitandao tofauti ya mambo ya digital imesema kwamba simu hii mpya kunauwezekano mkubwa wa kuja na uwezo wa kutambua fingerprint ya mtumiaji ambayo itatumika kama lock ya simu. Kitu kingine inasemekana siku hiyo pia itazinduliwa rasmi link ya watumiaji wa simu za iPhone ku-update operation system ya simu zao kuwa iOS7.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads