YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 4 Septemba 2013

Hawa ndio wametajwa kama wasanii wa bongo movie wenye best star look


Hawa ndio wametajwa kama wasanii wa bongo movie wenye best star look  Hemed & Wolper

1Hemed PHD ambae longtime amewahi kusema yeye ni bishoo sana na anazingatia sana muonekano wake kila sehemu anayotokea pamoja na  mwigizaji Jackline Wolper ndio wamechaguliwa kuwa wasanii wenye best star look kwenye bongo movie kupitia show ya Take One ya Clouds TV.Yakiwa ni maoni ya Watazamaji, Mtangazaji Zamaradi Mketema anakwambia kapokea kura nyingi kutokana na shindano aliloanzisha wiki iliyopita ambapo wengi wamepiga kura kwa Hemed kwa waigizaji wa kiume na Wolper kwa upande wa Wanawake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads