Mashabiki wa boxing kila upande wa dunia wanasubiri pambano hili weekend hii
Jumamosi hii huo Las Vegas kwenye hotel ya MGM Grande ambapo ndiyo mapambano mengi huwa yanafanyika, kutakuwa na boxing fight kati ya Mayweather kutoka Marekani na Canelo kutoka Mexico. Kutokana na style ya maisha ya Mayweather,majigambo na uwezo wake katika mchezo wa boxing, pambano hili linavuta hisia za watu wengi kuona kama atafikisha mapambano 45 bila kupigwa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni