YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 20 Septemba 2013

Hatimaye BBM application kupatikana kwenye Android na iOS weekend hii

Hatimaye BBM application kupatikana kwenye Android na iOS weekend hii

blackberry-messenger-logo
Baada ya muda hatimaye BBM itapatika weekend hii kwenye simu za Android na iOS. Upatikana ji wa BBM kwenye platform nyingine ulitangazwa mapema mwaka huu na C.E.O Thorsten. Kutoka kwenye vyanzo vya kampuni hiyo sasa hivi wamesema siku ya jumamosi watumiaji wote wa Android na iOS wataanza kufurahia huduma ya BBM kwenye simu zao.
bbmandroidios1_2040_large_verge_medium_landscape

Siku ambayo BBM ilitangazwa kuwepo kwenye Android na iOS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads