YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 21 Septemba 2013

Game ya GTA 5 yaingiza zaidi ya dola millioni 800 ndani ya siku moja ya mauzo



Game ya GTA 5 yaingiza zaidi ya dola millioni 800 ndani ya siku moja ya mauzo

gta-v-details-revealed-rockstar-0
GTA video game maarufu sana duniani kutoka kampuni ya Rocksta, wiki hii imetolewa katika toleo jipya la GTA 5. Unaambiwa katika masaa 24 tangu ianze kuuzwa imeingiza zaidi ya dola za kimarekani millioni 800. 
GTA 5 ambayo imeongezwa uhalisia zaidi ukiringanisha na matoleo ya zamani, lakini hivi sasa haipatikani tena kwenye PC. Gamers wote watacheza kwenye Playstation 3 na X Box 360.GTA ni moja kati ya game ambazo ni maarufu na zinaongoza kwa kwenye mauzo tangu matoleo ya zamani kama San Andreas, Vice City,GTA IV na nyingine.

Trailer ya GTA 5

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads