YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 20 Septemba 2013

Unatumia iPhone?, hivi sasa unaweza ku-upgrade OS ya simu yako kuwa iOS 7

Unatumia iPhone?, hivi sasa unaweza ku-upgrade OS ya simu yako kuwa iOS 7

ios7html-638x640Watumiaji wa simu za iPhone hivi sasa wanaweza ku-upgrade operating system zao kutoka  iOS 6 na kuwa iOS7. Kampuni ya Apple imetoa nafasi kwa watumiaji wake wa zamani ambao wana vifaa vya apple ku-update operating system na pia watakao nunua iPhone 5s na iPhone5c wataikuta iOS7 kwenye simu zao tayari kwa kutumia.
So, kama unavutiwa na muonekano pamoja na ufanyaji kazi wa iOS 7, unaweza ku-upgrade hivi sasa kupitia simu yako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads