YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 10 Julai 2013

TECNO P 3 : 'SMART PHONE' YA UHAKIKA KWA BEI NAFUU!

Hii ndiyo simu aina ya Tecno P 3. Wengi
ambao wameshatumia simu za Tecno,
watakubaliana namimi kwamba ni simu
imara, zinadumu kwa muda mrefu na ni
original kwa maana zinatengenezwa na
kampuni inayotoa gerentii ya MIEZI 13
(Mwaka mmoja na mwezi mmoja ). Tecno
wameleta simu mpya kukidhi mahitaji ya
smartphones kwa bei nafuu, ili kila mtu
amudu . Tecno P 3 inashindana na Samsung
Galaxy 'Pocket ', lakini hii ina vitu vingi
bora zaidi kuliko Samsung, kwa upande wa
Speed, Battery Life, Camera Pixels, n .k .
Pichani ni muonekano wa Tecno
unapoifungua kwenye boksi lako, ambapo
huja na charger , earphones , Warranty
Card. Simu yenyewe internal Memory yake
ni 512MB , SD Card ni 8GB , ikiwa tayari
installed features kama vile Whatsapp,
Fruit Ninja, Gmail, Facebook, Instragram,
Bible , Quran , n . k .
... .pichani ni baadhi ya apps kama
zinavyoonekana kwenye simu. Hakikisha
unatembelea maduka ya Tecno jijini Dar
kununua simu yako mapema na kwa bei
nafuu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads