YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 12 Juni 2013

JE ULISHAWAHI KUONA MWANAMKE WA KIZUNGU AMBAYE NI KONDA WA DALADALA? BASI MCHEKI HAPA

Now days kwa baadhi ya miji mikubwa
hapa
kwetu tanzania imeanza
kuzoeleka kumkuta
mwanamke akiwa amesimama kwenye
mlango wa daladala kama konda
daladala..haishangazi.....lakini kumkuta
mwanamke wa kizungu,tena mzungu
pure kuwa
konda wa daladala bila shaka ni ngumu
kuamini
kidogo sababu tunaamini watu weupe
hususani kutoka mataifa ya ulaya ni
watu
waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha
so inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu
kuwa
konda wa daladala tena ndani ya Africa?
picha
hapo juu ni picha iliyopigwa maeneo ya
kileleshwa
nchini kenya ikionesha  mdada wa
kizungu  akiwa
ndani ya daladala aka matatuu na
amevaa uniform
wanazovaa makonda yawezakuwa ni
kweli ama
ni just swagg tu maana wazungu
hawawezekani kwa vituko ...

SOURCE:==>>Bongoclantz<<==

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads