YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 30 Juni 2013

HUYU NDO MSICHANA WA MIAKA 25 ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5,000

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni.
Wakati wapo wanawake ambao hawapati
salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja
rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume
5,000 aliofanya nao ngono.
Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo
anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa
miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa
akitembelea.
Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu
za usiku, ndani ya ndege, mbuga za wanyama,
sehemu za kupaki magari, ndani ya gari,
sinema na disko.
Anasema kwamba alianza kufanya hivyo tangu
alipotolewa bikira yake akiwa na umri wa
miaka 16.
Anasema aliweza kufanya ngono na wanaume
wawili kwa siku. "Nilikuwa nasikia raha ya
ajabu na ndiyo maana nilipenda kufanya
ngono wakati wote," anasema Nikki.
Alipokuwa na miaka 21 alifikisha idadi ya
wapenzi 2,289 ambao alikuwa amewaandika
katika kitabu chake chekundu.
"Hakuna mwanaume aliyepita mbele yangu
asinitamani kwa waliotaka kufanya nami
mapenzi nilifanya hivyo, kwa sasa nimeathirika
na ngono," anasema Nikki.

source: Bongoclantz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads