YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 22 Mei 2013

Duuh Noma Sana hii!!!hebu Cheki:TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA CHANG'OMBE JIJINI DAR

Pichani juu ni taswira za ajali mbaya
iliyohusisha magari matatu ambayo
imetokea katika barabara ya
Chang 'ombe jijini Dar es Salaam na
kusababisha msongamano mkubwa wa
magari. Lori la mafuta ya kupikia lenye
namba za usajili T 219 lililokuwa likitoka
bandarini kuelekea Ubungo,
limegongana na daladala kisha
kupinduka na kuziba barabara ya
Chang 'ombe. Baadhi ya wananchi
waliofika eneo la tukio walionekana
kuwa busy wakichota mafuta
yaliyomwagika kutoka kwenye Lori hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads