Tanzania inatajwa kuwa ndio kinara wa uzalishaji na
uuzaji wa maharage barani Afrika. Ikiwa na eneo la ukubwa wa hekta
Milioni 1 nukta 3 za mashamba ya maharage, nchi hii inalisha mamilioni
ya watu Afrika.
Ni nini siri ya mafanikio ya Tanzania katika biashara hii? Mwandishi wetu Sammy Awami alikwenda mkoani Kagera, mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa maharage nchini humo na kutuandalia taarifa ifuatayo

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni