YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 13 Mei 2017

Movie kali zakuangalia 2017 (So far)


Leo nakuletea list ya movie kali 10 za 2017 ambazo zimekwishatoka tayari zipo sinema na online kwa wale wapenzi wa kustream movie online wananielewa.
Mwaka 2017 umekua mwaka wa shamra shamra sana kwenye tasnia ya filamu kwani kumekua na ushindani mkubwa wa kutoa movie kali kila kukicha mfano: Fate n Furious 8,Logan,John wick chapter 2,Sleepless na nyingine kibao kama zinavo onekana kwenye list ifuatayo:

10:Dark Knight(2017)




9:The Lure(2017)



8:Getout-2017



7:Split[2017]



6:The Lost City of Z[2017]


5:Logan_2017



4:I called him Morgan



3:The Blackcoat's Daughter



2:John Wick-Chapter 2[2017]



1:I Don't Feel At Home In This World Anymore



Bonus:All time *Best of the Best*
#1:Fate of the Furious (2017)



Hope You Enjoyed the list!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads