Baada ya kuwasili kwa Single Mtambalike
na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili kutokea Lagos Nigeria, March 8
ilikuwa ni zamu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ nyumbani na tuzo yake ya
filamu bora ya Afrika Mashariki, mtu wangu wa nguvu nimekusogezea Pichaz
20 za watanzania walivyojitokeza kuipokea tuzo hiyo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016.
\
Source:MillardAyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni