Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza, hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA,
February 2 ilichezwa michezo nane ya Ligi. Mtu wangu wa nguvu naomba
nikusogezee matokeo ya mechi zenyewe na video za magoli ya baadhi ya
mechi.
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
- Arsenal 0 – 0 Southampton
-
Leicester City 2 – 0 Liverpool
-
Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
-
Sunderland 0 – 1 Manchester City
-
West Ham United 2 – 0 Aston Villa
-
Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
-
Manchester United 3 – 0 Stoke City
-
West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo sasa
Source: MillardAyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni