Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kitabu
hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina
''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho
limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka
jina lake.Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasema kuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vilevile kiongozi wa kidini
Kitabu hicho kinaongezea kwamba ''katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu''
Kanye West akiwa na Kim Kadarshian |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni