YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 11 Desemba 2014

Maajabu mengine.. Tazama huyu ambaye amekuwa addicted kwa kula Toilet paper?




Toilet_paper_orientation_overMara nyingi tumesikia kwamba mwanamke akiwa mjamzito huwa kuna kitu anapendelea kula kuliko vitu vingine lakini hii inaweza kukushangaza zaidi kwani.
Mwanamke mmoja Jade Sylvester mama wa watoto watano amethibitisha kuwa anashindwa kujizuia kula toilet paper kila siku.
Jade amesema alianza kutamani kula wakati akiwa na ujamzito wa miezi miwili wa mtoto wake wa kiume Jaxon, lakini hadi sasa bado anaendelea kula na amekuwa akila kila siku lakini hajui kinachopelekea apendelee kula.
Pamoja na kujifungua mtoto wake wa kiume miezi 15 iliyopita Jade hawezi kukaa mbali bila kula karatasi hizo na kuna wakati ambao hujikuta akila bunda zima kwa wakati mmoja japo havutiwi na ladha yake, ila anavutiwa zaidi na ulaini wa karatasi hizo.
toiletfeeder101214

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads