YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 4 Desemba 2014

Cheki T.i.d mavazi aliyomvalisha Naaziz kwenye hii video.



naziziWatasema sana ni single ambayo iliwashika watu wengi sana ambayo iliwahusisha wakali kutoka Afrika Mashariki,Naaziz kutoka Kenya na T.i.d kutoka Tanzania ambayo ilifanikiwa kupenya vizuri kwenye masikio ya wana Afrika Mashariki.
T.i.d na Naaziz wameamua kufanya kazi nyingine tena ambayo hii inatwa Pressure,video imeongozwa na Cream Vision mavazi ya Naaziz yamezoeleka yale ambayo huwa yanavaliwa na wanaume lakini humu kavaa gauni ambalo linamuonyesha vizuri kama binti wa kiafrika.
Bonyeza play kutazama video hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads